Mganga wa Diamond?

Squidward

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
7,828
Reaction score
9,546
Hivi yule mganga wa diamond aliishia wapi jameni? naye ni celebrity ujue, tangu siku ile naona kimya no updates kwenye magazeti pendwa hata radios.Mwenye taarifa/updates zake atujuze nmemkumbuka ghafla maana alitikisa balaa kwene vichwa va habari mara ya mwisho nlimuona kene hotmix ya eatv
 
mganga WA Ali kiba akimbia mji bada ya alikiba kukoca tuzo ya bect male eact Afrikaans,kajinyakulia dmond platinum,tujiandae na tuzo zetu kumpokea dmond SAA saba hii Kyle escape one Mikocheni na PICHA ya pa1 Wasafiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:

kumbe atarudi leo
 
Last edited by a moderator:
Hii swaga wenzio wameshaona hailipi, kuna zingine ambazo nazo ni expired ni- anatembelea nyota ya sepetunga- ananunua tuzo-anawategemea wanigeria-freemason- anaiba nyimbo- anategemea skendo n.k lakini bado jamaa anafanya vizuri tu.
 
Alifunguliwa kesi na serikali ya jamhuri ya Tanzania na sasa yupo segerea kwa kosa la kuchafua jina la Mr Icon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…