mganga wa jadi toka kilimanjaro

Joined
Jan 17, 2013
Posts
28
Reaction score
3
jaani nisaidieni nimekata mitaa sana hapa Tanzania nimeona mabango mengi sana ya kujitangaaza waganga wa kienyeji utaona mganga kitoka sumbawanga, kigoma,tanga, taveta kenya na mikoa karibu yote Tz! isipokuwa mganga toka kilimanjaro! kwanini? hawarogani hawa? hawatumii mitishamba au wakisema wametoka kilimanjaro watu watajua wanaibiwa? maana mchaga kwa hela anaogopewa. ni kweli hakuna waganga kilomanjaro?
 

hivi yule doctor kiboko ni wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…