Mganga wa kienyeji maarufu kwa kunywa damu za paka. Dr manyau nyau agundulika mbinu yake ya utapeli.
Akiwa anafanyiwa mahojiano na mtangazaji wa global online tv. Dr manyau nyau alitaka kuonesha mbwembwe kwa mwandishi huyo wa habari kwa kumuambia asalimie majini yake na aone jinsi yanavyomjibu kwa vitendo.
Baada ya muandishi kufanya hivyo kwa kumsalimia jini KIMBUNGA ndipo watazamaji wakagundua Dr manyau nyau anamchezesha jini feki anayeitwa kimbunga kwa remote control iliyofichwa na cover juu yake. na wala sio miujiza ndio inamfanya jini huyo atingishike kumjibu mtangazaji. ni kitoy cha cha kichina chenye vibrations kimevishwa tunguli na matambala ndicho kinachezeshwa kwa remote iliyo fichwa na macover kwenye mikono ya manyau nyau kwa ujanja ujanja ili isionekane hiyo remote pia. hivyo kudanganya ni jini linajibu lenyewe
tazama mwenyewe kipande hicho cha video cha mikono ya manyau nyau imeshika nini. uone jinsi waganga wa kienyeji kama Dr manyau nyau walivyo wajanja.
This country is scourged by serious mental health disorders!
Sijaiona waziwazi hiyo remote control. Au ndo kile kama ki-wallet cha zambarau alichokuwa amekishika?
Huyo Manyaunyau hana lolote. Ana exploit wajinga na majuha walio desperate kwenye maisha yao.
Hakuna uchawi. Kama kuna mtu humu anamjua huyo Manyaunyau, mfikishieni taarifa kuwa Ngabu anasema amjaribu yeye kumroga ili kumpa fundisho tu kuwa uchawi upo kweli.
Fcuk Manyaunyau…..mwambieni nimemtukana pia ili apate walau kiji-sababu cha kunishikisha adabu.
Ignorance is a dangerous force that can destroy the social harmony of a nation. When people lack knowledge and understanding of different cultures, religions, and lifestyles, they tend to discriminate against those who are different from them. This discrimination can lead to division and conflict within the society.
This country is scourged by serious mental health disorders!
Sijaiona waziwazi hiyo remote control. Au ndo kile kama ki-wallet cha zambarau alichokuwa amekishika?
Hana lolote huyo Manyaunyau. Ana exploit wajinga na majuha walio desperate kwenye maisha yao.
Hakuna uchawi. Kama kuna mtu humu anamjua huyo Manyaunyau, mfikishieni taarifa kuwa Ngabu anasema amjaribu yeye kumroga ili kumpa fundisho tu kuwa uchawi upo kweli.
Fcuk Manyaunyau…..mwambieni nimemtukana pia ili apate walau kiji-sababu cha kunishikisha adabu.
Speaking about mental health, ni kama vile serikal doesnt care na imewaacha watu wahangaike wenyewe, result idadi ya kuchanganyikiwa watu inazid kuongezeka
Speaking about mental health, ni kama vile serikal doesnt care na imewaacha watu wahangaike wenyewe, result idadi ya kuchanganyikiwa watu inazid kuongezeka