Mganga wa kienyeji Pemba ahukumiwa Miaka 30 kwa kumbaka mteja wake

Mganga wa kienyeji Pemba ahukumiwa Miaka 30 kwa kumbaka mteja wake

Mganga huyu ni gwiji wa kuwatoa watu walioko mahabusu na pia wafungwa. Ni dhahiri atahakikisha anatoka huko ndani bila wasiwasi.

Tuwaombe Chuo cha Mafunzo wamwekee ulinzi wa hali ya juu kuhakikisha anamaliza mvua zote 30 akiwa lupango kama alivyohukumiwa.
Mganga wa kienyeji hudhibitiwa na mganga mwenzie aliye na nguvu kuliko yeye, hao maticha wa chuo cha mafunzo hawawezi ipo siku wataona malue lue kisha mganga atarudi zake Maskani kuendelea na uganga wake
 
Wanamtest kama atathibitisha uwezo wa kuwatoa wafungwa gerezani kwa kujitoa mwenyewe.Wajinga kabisa wanaoenda kwa waganga wa kienyeji kupata huduma, wataendelea kuingiliwa mpaka wakome.najua wako wengi wanaouza utu wao kwa waganga wa jadi
 
Unabaka 11th October 2021 then hukumu inakuwa 20th October 2021.Kazi inaisha!

Nzuri sana hii.
 
Mtu mzima habakwi, hayo ni makubaliano yao, mahakama iwapuuze wote.

Afu kama jamaa ni mpemba wangenyoosha tuu maelezo kuwa mwanamama kafumuliwa marinda.
 
Unabaka 11th October 2021 then hukumu inakuwa 20th October 2021.Kazi inaisha!

Nzuri sana hii.
Hii Ni Kama prison break,
Anajifungisha jela ili akamtoe jela mke wa jamaa ake
 
kwani maza angeikataa dawa ya mnana hiyo ingekuwaje? maana sharti la kwanza kwa mganga ni ukubali ama ukatae masharti - uamuzi huwa ni wa wako.... maza wee sema ukweli...
Hapa ndiyo nawashangaa Watz. mama kabakwa na mganga wa kienyeji lakini inaonekana kosewa ndiyo mkosaji. Mganga kamulaghai, lakini kwa wengine inaonekana yeye ndiyo kajitoa. Pathetic!
 
Hawa waganga wa kienyeji huwa na vituko sana kwa wateja wao kike, wana tamaa za ngono wakiona mwanamke ana shida ya uzazi hupata sababu za kula mbususu kwa kisingizio cha kuingiza dawa, mwanamke anaweza kuondoka na mimba ya hilo ganga la kienyeji na kwenda kuzalia kwenye boma la mumewe mtoto wa mganga wa kienyeji
 
Back
Top Bottom