Mganga wa Mapenzi

Mganga wa Mapenzi

Kuna mzee ana dawa ukimtongoza mke wake anakukubalia ila ukienda kwenye tendo unakuta mzigo haupo pako flat kabisa
 
hakuna dawa ya mapenzi

hizo za walozi ni placebos

ni dawa ambazo hazifanyi kazi lakini kwavile unaamini, zinapunguza dalili

kwa kesi hii ya mapenzi, kujiamini kwako kutaongezeka lakini haimaaniishi utapendwa kwa lazima
 
Dada u TP umeanza lini? 😹🤣🤣
Ulivyo serious sasa.!!
Halafu nyuzi nyingi nataniaga hivi watu wako serious mmoja alinifuata akaomba nifungue PM aisee watu hawatanii!wako serious....itabidi nitafute fundi wa ukweli nianze kuwa freelancer 😂😂😂
 
Wakuu wazima hivi ni kweli kuna mganga wa mapenzi, au ni sound tu tunapigwa?
Wamesema ni huyu hapa

shemeji nimeipata ile namba ya mtaalamu Yule aliye nisaidia shida zangu hii hapa0617146864 mpgie mzee atakusaidia matatizo ulio nieleza malipo baada ya tiba
 
Halafu nyuzi nyingi nataniaga hivi watu wako serious mmoja alinifuata akaomba nifungue PM aisee watu hawatanii!wako serious....itabidi nitafute fundi wa ukweli nianze kuwa freelancer 😂😂😂
JF vichaa wengi, kuna mmoja aliniomba connection ya mganga amiliki pesa kisa niliwajaza kwenye uzi…!! 🤣🤣

Alivyokuja PM nikamwambia “Acha ujinga fanya kazi hakuna pesa ya bure” 😹
Kuna watu wanatapeliwa kizembe sana.!
Bahati yao sisi sio matapeli wangejua hawajui
 
shemeji nimeipata ile namba ya mtaalamu Yule aliye nisaidia shida zangu hii hapa 0617146864 mpgie mzee atakusaidia matatizo ulio nieleza malipo baada ya tiba
 
Back
Top Bottom