Mgao ujao wa umeme…

Mgao ujao wa umeme…

Tutamkumbuka Sana uncle Magu chini yake hakukuwa na tatizo la umeme wala maji aliwapiga beat Tanesco hata kabla yakuingia madarakani, kiufupi tunarudi kwenye maisha tuliyoyazoea hii nchi inatakiwa impate raisi ambaye ni mkali asiyependa masiala na mwenye maamuzi magumu sasa huyu Raisi wasasa anaendeshwa kwasababu ni mpole na hana maamuzi magumu so watu watamchezea wanavyotaka.Ukali wa Magu ulisaidia hii kunyooka kulikuwa na taarifa eti maji ya kidatu kupunguza Mara kwa Mara kipindi Cha kikwete lakini tangu aingie Magu Huu upuuzi ulikuwa haupo.
Nyani Ngabu
Utaskia ooh watu walipotezwa kwenye viroba mara Ben sanane sijui Azory! Huo ndio utetezi wa vyeti feki anti-Magu
 
R.I.P JPM hii yote ni kufanya jambo kwa kumuwaza JPM asimgekufa ina maana kuna siku umeme ungekatika.

Hawa wanataka kubadili mfumo wa kupokea pesa hawataki pesa wazikose kama kipindi kileee saivi wapo serious kushirikilia kila sehemu vibaki kwa ajili ya vizazi na vizazi vyao .


hii nchi ni yetu sote sio ya watoto wa vigogo mbona nyerere hajatufanyia hivi ila wao wanataka kushika kila kitu huyu aridhi,huyu habari ili kuzuia na kuelekeza propaganda huyu mwingine anapiga msumali matrillioni yakae ndani mwao.
Muda si mrefu utaskia mfumo wa GePG ume collapse wanakodi mfumo mpya India kwa ajili ya kupokelea malipo yote ya serikali!
Magufuli alipowanyoosha alikuwa sahihi sana na alisema million times wanaonichukia ni wapiga deals ila wengi walichukulia mzaha.
 
Nafikiri kwa muda mrefu Tanesco wamekuwa wakiendesha hiyo mitambo bila periodic maintenance kwa kuhofia kuonekana saboteurs baada ya serikali kuahidi hamna mgao. Now the chickens have come home to roost maana wakizidi kuiendesha ita collapse kabisa. Hawana jinsi bali wafanye the long over due maintenance.

Amandla...
Huu ni uongo, mtambo usipofanya maintenance utakuumbua tu. Pia ilisubiri January awe waziri ili ianze kuharibika?
Pikipiki tu huwezi kuendesha mwaka mzima bila service
 
Kila hitilafu ikitokea inakuwa oh...fulani angekewepo isingetokea!!
Hata mashine zinachoka na kuhitaji ukarabati...
"Mpaka mvua ikichelewa kunyesha itasemwa kwa kuwa fulani hayupo.."
Tusubiri wahusika watujulishe sababu ya mgao na sio kuangalia nani yupo nani kaondoka...
Sababu za mgao Tanesco wamezitaja kwenye taarifa waliotoa...

.tatizo watu wanapinga tu kila kitu, wengi wao walikuwa mashabiki wa awamu ya 5 ila Sasa wamegeuka pingapinga.
 
Huu ni uongo, mtambo usipofanya maintenance utakuumbua tu. Pia ilisubiri January awe waziri ili ianze kuharibika?
Pikipiki tu huwezi kuendesha mwaka mzima bila service
Ilishaanza kuonyesha hitilafu kitambo tu na kama Tanesco wasiporekebisha Sasa hivi hata huo umeme wa mgao hamtaupata.
 
Sababu za mgao Tanesco wamezitaja kwenye taarifa waliotoa...

.tatizo watu wanapinga tu kila kitu, wengi wao walikuwa mashabiki wa awamu ya 5 ila Sasa wamegeuka pingapinga.
Sawasawa....Mambo ya kiufundi na majanga ya asili hayana Nani yupo au Alikuwepo....
 
Naona pale juu pana KIGOGO,pembeni kuna maharage mbona tutakoma,na wote wanakula urefu wa kamba zao kama bibi unguja alivyoelekeza.
 
Naona pale juu pana KIGOGO,pembeni kuna maharage mbona tutakoma,na wote wanakula urefu wa kamba zao kama bibi unguja alivyoelekeza.
 
Maza anaupiga mwingi…

Kuna kitu sielewi kwanini January anaingia mikataba mingi yenye kuigharimu nchi Fedha nyingine za kigeni kwa kasi ya ajabu; hivi hii mikataba ya fedha nyingi kiasi hiki inapata baraka za Bunge ? Tusipokuwa macho huyu Kijana anaweza Kuwa anatumia udhaifu aliougundua kupiga fedha kwani Samia is busy musing about going to school so that she has the title of "DR"!
 
Back
Top Bottom