Mgao ujao wa umeme…

Wanatayarisha mazingira ya kuiuza Tanesco, kila kitu kimepangwa, wana check box tu, It’s a coup !
Wakiuza shirika bila sababu za msingi.....wajiandae kukaba kila mchezaji uwanjani vinginevyo watafungwa magoli mengi sana.
 
Kwa hiyo shirika halina kabisa mipango ya kuhakikisha kuwa hakuna usumbufu wa ukosefu wa umeme pindi wanapoifanyia ukarabati hiyo mitambo?

Mbona nchi zingine nilizowahi kuishi huwa hakuna migao ya umeme ya hivyo?

Wao mitambo yao huwa haihitaji ukarabati?

Na haiwezekani umeme kuendelea kuwepo huku mitambo ikifanyiwa ukarabati?
 
Kama sio kula wao umeme basi wanatuonea wivu kunyoosha kwa pasi za umeme mashati yetu.. (Jokes) ila ni mazingira ya biashara zao za majenereta na solar
 

Hizo nchi watakuwa na umeme wa ziada walau mara mbili zaidi ya uhitaji wa MW zinazozalishwa...

Mzee hivi unajua kuna maeneo Tanzania yanapata umeme toka nchi jirani? (Kenya, Uganda na Zambia)...yaani Tanzania inanunua umeme toka huko
 
Hizo nchi watakuwa na umeme wa ziada walau mara mbili zaidi ya uhitaji wa MW zinazozalishwa...

Mzee hivi unajua kuna maeneo Tanzania yanapata umeme toka mchi jirani? (Kenya, Uganda na Zambia)...yaani Tanzania inanunua umeme toka huko
Binafsi sijali sana umeme unatoka wapi.

Mimi nataka uwepo tu muda wote kama ilivyo kwenye nchi zingine.

Inawezekana kabisa.
 
Mkuu ingekuwa vema kama ungeondoa hisia na chuki dhidi ya huyo fulani ili nasi tupate kitu kwa maoni yako. Nchi ya Korea Kusini mtoto anazaliwa hadi anafika umri wa miaka 30 hakumbuki kama kuna siku umeme ulishawahi kukatika. Je, huko hakuna mitambo inayohitaji ukarabati? Kwa nini usikubali tu kuwa mabadiliko ya uongozi yamesababisha pia kulegalega kwa taasisi zetu??
 
Taarifa hii katoa nani, maana wanaosemea wameshakorogwa
 
Mvua Tele, Maji Kama Yote
Ila Hawa Wanatutengeneza Wazi
 
KOREA KUSINI!!!!!!!!!!!!!!!.................................
Unafananisha kifo na usingizi, wanatumia umeme wa mabwaha??? Korea Kusini ina viwanda 14 vilivyo kwenye Fortune Global 500.

Soma hapo kuhusu Korea Kusina:

Electricity generation in the country mainly comes from conventional thermal power, which accounts for more than two thirds of production, and from nuclear power. .
 
CCM ni laana.
Hapa watakuja wapumbavu na kuanza kumkumbuka Jiwe.
Hata awamu ya jiwe bado maisha ya Wadanganyika yalikuwa ya hovyo huku ardhi yao imemeza matrilioni ya fedha.
 
Magufuli tutamkumbuka, hiyo haikwepeki. Hawa waliopo hawana uwezo wowote wa kuendesha Tanesco! Kuna Jambo linatayarishwa hapo na hatimaye litahalalishwa.
 
Unaweza kupata uraia wa nchi yeyote unayotaka si lazima uwe mzaliwa wa hapo.....
Kama kuwa Mtanzania kunakukera badilisha uraia hujachelewa

tuonyeshe nchi gani inakupa uraia hapo kwa hapo mimi kesho tu na familia yangu nitaenda kuomba wapi?
 
nimeishi falme za kiarabu mji wa abudhabi kwa miaka 25 nafanya kazi sijawahi kuona umeme au maji yamekatika na nchi ile ni jangwa mvua hawana kama kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…