Mgao wa madarasa 20m, serikali iondoe Kodi , vifaa vya Ujenzi juu

Mgao wa madarasa 20m, serikali iondoe Kodi , vifaa vya Ujenzi juu

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Ummy Mwalimu umegawa kila chumba Cha darasa 20m, kwasasa ni ngumu kwa bajeti hio, vifaa vya Ujenzi juu Sana, naomba mutoe special offers yaani tax exemptions kwa Ujenzi juu wa madarasa vinginevyo mtatumbua, au mjenge kwa matofali ya udongo then plasta tu ndo cement, halaf nondo moja tu Tena kwenye dirisha na mlango. Muondoe Kodi kwenye vifaa vya Ujenzi nakupenda ummy
 
Hela ndogo hio,kibanda cha Mlinzi tu kilijengwa kwa mil 7.

Hio 20m Ni kwa ajili ya feasibility study tu ya wapi tutajenga hayo madarasa hapo shuleni.Asanteni.
 
Yaan wiki hii ndio utaona vifaa vya ujenzi vitakavyo-inflate

Nadhani the purposely measures should be addressed forward

Vitu vitapanda bei ajabu maana pesa nyingi inapelekwa kwenye manunuzi ya vifaa vya ujenzi

Ngojeni muone balaa lake
 
si mbaya kwani hera iatkuwa imeingia kwwnye local community
 
Back
Top Bottom