Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana Kibaha tumelala alfajiri usiku mzima tulikuwa tunachezea maji baada ya kutakosa siku hamsa kamili [emoji23]Huyu mwanakatuni Said Michael hatari sana, hii katuni ukiangalia unacheka na kuna wakati unasikitika.
Mshana Jr
Ova
View attachment 2411079
Hii tunaita unatwangwa kote kote.Huyu mwanakatuni Said Michael hatari sana, hii katuni ukiangalia unacheka na kuna wakati unasikitika.
Mshana Jr
Ova
View attachment 2411079
Twafaaaaukikaa nchale ikisimama nchale ukikimbia nchale