Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,281 Jul 10, 2020 #21 okiwira said: Serikali ipi mkuu ya kiMungu yenye kila kitu kwa wananchi wake? Nataka nikaenjoy huko. Click to expand... Tafuta utaiona mkuu
okiwira said: Serikali ipi mkuu ya kiMungu yenye kila kitu kwa wananchi wake? Nataka nikaenjoy huko. Click to expand... Tafuta utaiona mkuu
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 9,121 Reaction score 20,814 Jul 10, 2020 #22 Mongela out Mtaka in
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,076 Reaction score 13,953 Jul 10, 2020 #23 Maji leo siku ya 3 maji hayajatoka bombani aisee!
J johnmashilatu JF-Expert Member Joined Sep 16, 2010 Posts 1,263 Reaction score 1,753 Jul 10, 2020 #24 Mwanza bhana... Yanayoendelea hunikumbusha maneno katika wimbo wa Bob Marley. "... Katikati ya maji/ kisiwa, mpumbavu anahisi kiu"
Mwanza bhana... Yanayoendelea hunikumbusha maneno katika wimbo wa Bob Marley. "... Katikati ya maji/ kisiwa, mpumbavu anahisi kiu"