Mgao wa mali za Jide, Gadner 'UTATA'

Hivi m(wa)toto wa jide na Gardner wako wapi. Na mgao ukifanyika nani atakuwa anawajibika nao?
 
Mali ni za jaydee sasa suala la kuruhusu mtu kuandika jina lake kwenye vitu anavyomiliki ni vibaya? Cha muhimu ajipange tu kimaisha aanze upyaaa

binamu unanichekesha majibu yako
 
Yaweza zungumzwa kwa kejeli ya aina yoyote ile lakini sheria inasemaje washauri wa jide wanapaswa kufikiri mara mbili hasa mwenyewe jide Heshima ni muhimu Zaidi kuliko mali !!!
 

Umefanya tafiti,nina rafiki yangu ni director ofis fulani ya serikali,yeye kila anachonunua anaandika jina la mkewe,ana nyumba tatu zote kaandika jina la mkewe,gari kaandika jina la mkewe,na kila mwisho wa mwezi ana mpa 85% ya mhahara wake,mkewe ni mwalimu
 
Mi ningesepa hivi hivi kuonyesha umwamba kama kidume. Aaaghh
 
Michepuko awaachie akina CK na wakongo maana hao ndo vidume, wanapiga pumbu nje na kufanya jeur zote coz pesa anazo, sasa mwenzetu na sie apa maimuna kibajaji kujifanya bepari kumbe kuku wa kizungu, liache lihangaike

Dah nomaa
 

Ndio maana mastaa wanadate wao kwa wao,wasakatonge nao wao kwa wao.
 

Gardner ni malaya na mara nyingi Jide kambamba jamaa mara kibao anagonga videmu ndani ya Murano, Jide ni mwanamke mvumilivu sana. Hakuna mtu anapenda starehe na matanuzi kama Gadner, hata kupewa umeneja kwa Jide, ni heshima tu ya Jide kwa mumewe, kwa hili kama ingekuwa ni uwezo wangu Gadner asingepata hata kijiko kwenye mgao wa mali. Yeye aliwekeza TBL na vitoto Vya kike vya mjini huku akijua capital for his investment inatokana na jasho la mke wake. Sasa ni mda wa yeye kupata return yake kutoka TBL na videmu Vya town. Yaani Jide a struggle kutafuta hela tena kwa kazi ngumu kama yake halafu leo aje agawane na msaliti asiyebebeka? Mara ngapi Jide anamvumilia mme wake kwa usaliti anaomfanyia? Mimi ni mwanaume nimeoa na naelewa mchango wa wanafamilia kwenye mali, ila kwa hili la Gadner no way!? Asipate hata toilet paper! Ni mshamba na mnyanyasaji wa kijinsia. Anahonga, anapiga mademu ndani ya gari ya mke wake, anafanya starehe atakavyo kwa jasho la mke wake eti leo wagawane, si yeye mgao wake alikuwa anautumia kufanyia starehe? Alaaah!!!?
Hivi kwanini mnadhani mpaka leo si Gadner wala Jide hawasemi tatizo la wao kuachana? Hivi unadhani kama Jide angekuwa na matatizo si dunia nzima ingejua kuwa mwenye tatizo kwenye ndoa yao ni Jide. Kama leo G anaenda mahakamani kudai mali, what if Jide ndo angekuwa mkosaji? Unadhani G abgekaa kimya na hasa ukizingatia yeye alikuwa super mario? Jide anamsitiri, siku akiamua kulopoka kama walivyo mastaa wengine, wote mnaomshabikia Gadner mtasanda.
 
Mnaisema Gadner ni kichwa cha nyumba, ameondoka vipi na kukiacha kiwiliwili nyumbani? Anajua hana chake ndo mana amesepa, angejua kuwa ana mchango katika hizo mali sidhani kama angeondoka kirahisi na kuacha nyuma mali zake alizozitolea jasho. Yote kwa yote yetu macho na masikio
 

Mkuu hapo sijakuelwa una maanisha kuwa mwanamke anatakiwa awe zoba, poleni wanaume wote ambao mkiambiwa weka mahesabu yenu wazi mnasingizia mara oh nimefanya hiki mara kile. Yaani hela yenu haijuilikani inafanya nini? Asante kwa kunipa akili katika hili.
 

Mi nayajua mauchafu yake yote, yani ni aibu sana, gadner kamuomba mke wake wasizungumzie popote suala la ndoa yao, jide kwa mapenzi na heshima ya mume wake kaamua kukaa kimya tu amsitir japokuwa mauchafu ya gadner yanajulikana karibia na watu wao wa karibu wote.
 

Mhhh huyo jamaa kiboko nadhani kwenye milion anaweza akawa yeye na Gadner tuu
 
Aende zake huko alitaka kupakatwa sasa mkataba umeisha akatafute wa kumpakata tena angetaka yote yasimkute c angeacha kuruka ruka na vichenchede
 

kwa mtu wa viwanja kidogo tu au km unajuana na watu wa mjinimjini lazma uujue ushenzi wa
gadna
 

Huyo sababu ni fisadi/mwizi wa mali ya umma na wengi wanafanya hivyo, sasa Gadner ana sababu gani ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…