nashukuru leo wamenitumia tsh77,026 sio mbaya japo nakumbuka nimefanya transactions nyingi sana za tigopesa hadi sasa. nimewakubaliWakuu mm natumia sana tigo pesa kwenye kazi zangu basi baada ya kujibu ile message yao ya wekeza sijui nn wamenitumia shilingi 18,000 kwa matumizi yangu ya tigo pesa naona kama ni hela ndogo maana huwa mara kibao nagonga limit ya m5 by the way ni vizuri kuwa mwenye shukrani...thanks tigo sikua nayo
Wameajiliwa na Tigo, wajinadi humu jamvini, lakini hakuna ukweli wowote,.
waacheni wapige kelele .
isee, mnapenda vya bure kwelieee!! shauri zenu, mtapewa na nyie bila kujua mtakatwa kwenye matumizi yenu bila kujua, fanyeni kazi hacha kufikiria kuvuna wakati haujapanda.
SaaMbovu, sasa amini kwamba unaweza kupata faida kwenye biashara na kurudisha tena kwa wateja hii ni njia ya upambanaji katika biashara. Angalia mtu kama mengi, kajijengea jina kubwa na zuri mbele ya jamii ya kitanzania kwasababu sehemu ya faida anayopata anakula na watanzania. Eg walemavu, michango makanisani na misikitini nk.Ninacho fahamu ni kwamba utakapo tumiwa hela na mtu utakatwa hela ambayo walikutumia. Kuna jamaa alitumiwaa 50,000/= na akazitoa akatamani abadilishe namba kwakuwa anajua akija kutumiwa hela na mtu wanazikata. Naamini kabisa huwezi ukafanya biashara ukapata faida halafu ile faida ugawie wateja. Kumbuka hao ni wataalamu wa Business. Baada ya muda tutajua lengo lao liko wapi na watu watakuja laumu hapa.
Maoni yangu tu.
lakin waache kutuibia vocha zetu, unaweka vocha unakuta imekatwa vibaya!! Na hujajiunga na huduma yoyote!! Si wizi huo?!