Mgao wa tigopesa vipi

Mgao wa tigopesa vipi

mimi nimetumiwa 4014,,nilikuwa na salio 414. nadhani inategemea na matumizi yako ya kila mara.
 
Wakuu mm natumia sana tigo pesa kwenye kazi zangu basi baada ya kujibu ile message yao ya wekeza sijui nn wamenitumia shilingi 18,000 kwa matumizi yangu ya tigo pesa naona kama ni hela ndogo maana huwa mara kibao nagonga limit ya m5 by the way ni vizuri kuwa mwenye shukrani...thanks tigo sikua nayo
 
nashukuru leo wamenitumia tsh77,026 sio mbaya japo nakumbuka nimefanya transactions nyingi sana za tigopesa hadi sasa. nimewakubali
 
Mimi huwa ni mbishi ila juzi usiku wamenitumia Tshs. 26,800. Nikadhani changa la macho ila nikaitoa. Na leo asubuhi bosi wetu huwa anatumia sana tigo kwenye transaction zake ametumiwa Tshs. 42,600
 
RRRRRRRRAAAAAHAAAAAAAAAAA,
Suala ni je mnazitumaje?
Hembu fanyeni hivi.
Mtuie mzee nyumbani kama Sadaka.
Mie Jumla kwa line zangu na Family nililamba 27,000.
GOD BLESS TIGO,
Maana wengine wamepata gawio sawa na mshahara wa mtu.
Tumshukuru mungu kwa ulichokipata,mungu humpenda anaeshukuru hata kwa kidogo.
 
isee, mnapenda vya bure kwelieee!! shauri zenu, mtapewa na nyie bila kujua mtakatwa kwenye matumizi yenu bila kujua, fanyeni kazi hacha kufikiria kuvuna wakati haujapanda.
 
Aisee unajua me nilipata 7000 nikajua wamekosea wataichukua mpaka jana naona kimya kumbe kulikua na kamgao,ila nashukuru japokua kiduchu.
 
Ninacho fahamu ni kwamba utakapo tumiwa hela na mtu utakatwa hela ambayo walikutumia. Kuna jamaa alitumiwaa 50,000/= na akazitoa akatamani abadilishe namba kwakuwa anajua akija kutumiwa hela na mtu wanazikata. Naamini kabisa huwezi ukafanya biashara ukapata faida halafu ile faida ugawie wateja. Kumbuka hao ni wataalamu wa Business. Baada ya muda tutajua lengo lao liko wapi na watu watakuja laumu hapa.
Maoni yangu tu.
 
Wameajiliwa na Tigo, wajinadi humu jamvini, lakini hakuna ukweli wowote,.
waacheni wapige kelele .

Acha ubishi wa kijinga we kipara watu wanavuta mpungu we endelea kulalamika tu.. Utakuwa unatumia voda ww

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
isee, mnapenda vya bure kwelieee!! shauri zenu, mtapewa na nyie bila kujua mtakatwa kwenye matumizi yenu bila kujua, fanyeni kazi hacha kufikiria kuvuna wakati haujapanda.

Hacha = Acha
 
Ninacho fahamu ni kwamba utakapo tumiwa hela na mtu utakatwa hela ambayo walikutumia. Kuna jamaa alitumiwaa 50,000/= na akazitoa akatamani abadilishe namba kwakuwa anajua akija kutumiwa hela na mtu wanazikata. Naamini kabisa huwezi ukafanya biashara ukapata faida halafu ile faida ugawie wateja. Kumbuka hao ni wataalamu wa Business. Baada ya muda tutajua lengo lao liko wapi na watu watakuja laumu hapa.

Maoni yangu tu.
SaaMbovu, sasa amini kwamba unaweza kupata faida kwenye biashara na kurudisha tena kwa wateja hii ni njia ya upambanaji katika biashara. Angalia mtu kama mengi, kajijengea jina kubwa na zuri mbele ya jamii ya kitanzania kwasababu sehemu ya faida anayopata anakula na watanzania. Eg walemavu, michango makanisani na misikitini nk.
By the way hata mimi nimepata kagawio kangu toka Tigo TShs8,000/=
Tigo Oyeeeeeèeeee
 
lakin waache kutuibia vocha zetu, unaweka vocha unakuta imekatwa vibaya!! Na hujajiunga na huduma yoyote!! Si wizi huo?!
 
lakin waache kutuibia vocha zetu, unaweka vocha unakuta imekatwa vibaya!! Na hujajiunga na huduma yoyote!! Si wizi huo?!

Hilo limenikuta nilitumiwa muda wa maongezi na Waikato huo huo nilikuwa nimejiunga na mini kabang ya wiki bado mbichii. Wakalamba hela yangu yotee. Kuwapigia simu wanajiuma uma tu. Wezi kabisa
 
Mimi jana wamenitumia 114,392 nimeiacha tu sijatoa nione kama wataichukua....kumbe kweli wanatoa mgao!!
 
Mi nimetumiwa message ya kulipa deni la mini kabang mbona wanaupendeleoo
 
Back
Top Bottom