Hii issue ni halisi, hata wale wa mpesa na airtel money wataanza kupewa kwa utaratibu utakaobuniwa na kampuni husika.
Nilivyoelewa ni kwamba, mtandao wa simu unaweka float benki kulingana na balances za mpesa/airtel money/tigo pesa balances za wateja wao. Benki hitoa riba kwa makampuni husika kulingana na balances. But kumbuka zile ni hela za wateja na agents kwa hiyo hii riba inatakiwa irudi kwa wateja wao. So Central bank imewaamuru warudishe hizo pesa kwa wateja husika, tigo ndo wameshaanza sasa