Mgao wa umeme: Hospitali ya KCMC yasitisha baadhi ya huduma

Kinachofanyika ni kujenga hoja ikubqlike juu ya kuachana na mradi wa bwawa la mwal.nyerere.
 
Ngoja tumpeleke Kaaya, Kingai , Mahita, muuza Mbege na mzee wa Ballistic wawashughulikie hao KCMC[emoji1]
 
Mgao wa maji na umeme unaoendelea hapa nchini umeitikisa hospitali ya KCMC inayotegemewa na zaidi ya watu millioni 15 nchini na imelazimika kusitisha baadhi ya huduma kama vile upasuaji, uzalishaji wa mitungi ya Oxygen n.k.

=======
RAU tena imo! Sasa mbege itakuwaje.
 
Mi 5 tena kwa madam presida
 
Mkuu njoo mbulu huku wama ng'ati wazee wetu wana miaka zaidi ya 80 hawajawahi kuona umeme wala kunywa maji ya dawa lakini wanaishi
 
Mkuu njoo mbulu huku wama ng'ati wazee wetu wana miaka zaidi ya 80 hawajawahi kuona umeme wala kunywa maji ya dawa lakini wanaishi
[emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu njoo mbulu huku wama ng'ati wazee wetu wana miaka zaidi ya 80 hawajawahi kuona umeme wala kunywa maji ya dawa lakini wanaishi

Ndio maana nikasema inategemea !
 
Moshi ilikuwa na maji ya ziada miaka iliyopita. Ilikuwa ni kati ya miji michache hapa Africa yenye maji mengi.

Sasa imekuwaje.

Mama kapewa Janga la Urais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…