Mgao wa umeme: Hospitali ya KCMC yasitisha baadhi ya huduma

Kwa hiyo hiii awamu haijawafuta machozi na mateso?? Waliyoyapitia??
 
Hapo ndipo hao Wachagga wanapoonesha ujinga wa hali ya juu!
 
Kuweka kumbukumbu sawa, wachaga wana ugomvi na CCM tangu enzi za Tanu kabla na baada ya uhuru. Na hiyo ni kwa sababu moja kuu, watawala wa CCM (zamani Tanu) waliwahi kusema na kujiapiza kuhakikisha wanawafanya wachaga kuwa mafukara na kuwanyima nafasi ya kutaka kuliongoza hili taifa. Kama ilivyo CCM zanzibar dhidi ya wapemba na itikadi zao. Haitatokea wapemba wakaipenda CCM kwa ujumla wao au wachaga wakaipenda CCM kwa ujumla wao. Haiwezekani.

Ugomvi binafsi wa wachaga na Magufuli uliletwa na Magufuli mwenyewe, Magufuli hakutaka kuwatendea wema wachaga na kwa kauli zake mwenyewe aliwahi kutamka kuwa chini ya utawala wake, basi wachaga (wenyeji mkoa wa Kilimanjaro) watasubiri sana na angeendelea kuwashikisha adabu mpaka wakome!

Yote kwa yote kwa sasa Mama Samia ameamua kununua ugomvi usiomhusu, ameamua kugombana binafsi na wachaga kimakusudi na kwa lazima, kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe ni doa kubwa kwa Samia dhidi ya wachaga, halitaweza kufutika. Jambo moja ambalo mama Samia hakuwa kulijua kuhusu Mbowe, ni kuwa; mbele ya wachaga Mbowe ni mjumbe na alama ya amani, haki na maendeleo, ni mambo ambayo wachaga wamekuwa wakiyapigania toka mkoloni. Kama walivyo wapemba walivyompenda Maalim Seif huenda ndivyo hivyo wachaga kumpenda Mbowe.

Kumsingia mtu uongo tena uongo mbaya mbele ya jamii (mfano wa Samia kumsingizia Mbowe kuwa ni gaidi) kwa wachaga huko ni kujitafutia laana, na ipo siku laana itajibu tu.
 
TANZANIA OYEEEE,,,KAZI IENDELEEEDD

NYIE HANGAIKENI NA UMEME SISI TUNASUBILI NDEGE ZETU BANAAA

MTUACHE
 
KCMC ina support ya Good Samaratian Foundation kwa miaka nyingi sana. Kwani nini wao wameshindwa kujipanga vizuri?
Mgao was umeme sio jambo jipya kwetu kwanini wao hawajui hii issue pamoja na Maji?
 
Tanzania yanunua ndege zingine mbili kwa cash na zitawasili hivi karibuni

Ccm oyeee
 
Endeleeni kutetea monopoly ya TANESCO eti umeme ni serikali tuu na hauwezi kufanywa na private sector kwa issue za usalama ,sera za ovyo sijawahi kuona tangu nizaliwe, tatizo letu la umeme ni sera na rushwa sio umaskini
 


Hatari sana, ila ni sawa kabisa hii serikali sio katili haiui watu, kuwateka au kutenda udhalimu wowote.
 
Maji na umeme wa nini kwenye macho yao?! Wao wanapata vyote bila bugudha! Wanachopenda watanunuwa bila kujali shida zetu. Wakose maji na umeme kama sisi, wiki tu, utaona mabadiliko.
 
Maji na umeme wa nini kwenye macho yao?! Wao wanapata vyote bila bugudha! Wanachopenda watanunuwa bila kujali shida zetu. Wakose maji na umeme kama sisi, wiki tu, utaona mabadiliko.
Duh
 
Ujenzi wake umefikia 80% huwezi kuliacha
Usiseme hivyo ndugu, mafisadi hawana aibu! Cha msingi Watanzania tuunganishe nguvu ile kinga ya Raisi kushitakiwa iondolewe ili akikubali kuuacha pesa ya serikali itumike vibaya ashitakiwe ebo!
 
Mkuu nakuheshimu sana! Sikujua kabisa kuwa kumbe kucheza na Mbowe ni kucheza na kabila lote la wachaga.
 
Mama hakati makusudi acha chuki mzehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…