Mgao wa umeme: Hospitali ya KCMC yasitisha baadhi ya huduma

Kamfufueni basi marehemu, mchukuweni na yule mchungaji wenu mkasaidizane kama uwezo huo munao,,,,munachekesha wazehe
Kwa nini usianze kumfufua kwanza charles mbowe
 
Ni aibu kukosekana kwa jenereta kwa Pesa tunazolipia matibabu hapo huwa gharama mno.
 
Kwa nini usianze kumfufua kwanza charles mbowe

Mimi cmtajitaji Charles wala magufuri, nacheza na rais aliepo. Sasa ninyi ndugu zangu kila day magu magu, sasa c mkamfufue au mkazikwe nae shimo moja!!! 😂
 
Hatari sana, ila ni sawa kabisa hii serikali sio katili haiui watu, kuwateka au kutenda udhalimu wowote.
Wewe unajua watu wanakufa wangapi kwa kukosa umeme wa kuendesha mashine za kufanya opraishein? Magufuri alikuwa anaangaika na majizi na Magaidi, inawekana ndugu yako alikuwa miongoni mwao ndio maana alikufa
 
Hivi kumbe kcmc ni ya wachagga tu?
 
Wewe unajua watu wanakufa wangapi kwa kukosa umeme wa kuendesha mashine za kufanya opraishein? Magufuri alikuwa anaangaika na majizi na Magaidi, inawekana ndugu yako alikuwa miongoni mwao ndio maana alikufa
Kabisaa
 
Mungu awabariki hao viongozi wa tanu walioadhimia hayo, kwa ubaguzi wa lionao hao watu sijui taifa lingekuajee
 
Wewe unajua watu wanakufa wangapi kwa kukosa umeme wa kuendesha mashine za kufanya opraishein? Magufuri alikuwa anaangaika na majizi na Magaidi, inawekana ndugu yako alikuwa miongoni mwao ndio maana alikufa

Nisome vizuri, taratibu, mtiririko wa mada. Usirukie treni kwa mbele.
 
Ukiliweka ili kwenye upande wa kisiasa tunaeza laumu wote walio tuongoza ila tatizo limeanzia kwenye upungufu wa maji nchini ambacho ndicho chanzo kikubwa cha kuzalisha umeme. Kwa ilo hapa serikali unaeza ilaumu kwa kutokuandaa mifumo wezeshi ambayo ingefanya tuweze kupata umeme nje ya kutegemea chanzo cha maji.
Pili inapokuja kwetu sisi raiya ambayo hata ao walioko kwenye mfumo tunawohuita serikali wamo ni kwamba tumekuwa na tatizo kubwa la kuharibu mioto ya asili tukiwa tunakimbizana na teknolojia na maisha ya kisasa mfano mdogo watu saivi wanakata miti wanazungusha fensi ya ukuta majumbani miti inaoteshwa michache kama pambo miti inakatwa kwaajili ya kuanzisha makazi au kufanya uwekezaji lakini kiwango cha miti inayopandwa ni chachee hivyo tatizo la maji litazaliwa nalo litazaa tatizo la umeme
 
Watakwambia et miti millioni 4 imekatwa sjui walienda kuihesabu! Kuna watu vilaza sana
Swala la uvunaji wa miti ni kwelii ila wao wanatumia ilo kama kinga udhaifu wao ni kwamba miaka 60 yote wameshindwa kutengeneza mfumo ambao ungesaidia kupatikana kwa umeme tofauti na kutegemea maji kama chanzo kikuu cha uzalishajii
 
Inasikitisha mno
 
Unapata faida gani kutetea ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…