Duuh biashara gani hiiHakika kila kitu kitapanda bei.
Hapa kwenye biashara ya rafiki yangu ananambia ametumia milion 15 za kuwasha Generator kati ya Nov 1-29. Umeme wa kawaida huwa wanatumia milion 5 tu kwa mwezi.
Sasa anafikilia kupandisha bei kama hari ikiendelea hivi na mwezi huu. Ila anaogopa kupoteza wateja.
Cha kushangaza ana ratiba ya mgao wa umeme lakini kuna mgao ndani ya mgao. Yaani Ratiba ya Mgao haufuatwi.
Kwenu studio na Kipara
Bora eskom ratiba inafuatwaNchi irudishwe kwa muingereza weusi, hawawezi uongozi. Tanesco kama wenzao wa Eskom kule Afrika Kusini.
Wapii hawafuati. Jamaa yangu analalamika na kuna habari nikaona wanailamu kwa hilo pia.Bora eskom ratiba inafuatwa
Nchi moja ya kipumbavu sana.Hili taifa lina bahati mbaya sana ya kuongozwa na waliofeli lakini ndio kwanza wanaendelea kutengeneza mitandao ya kuendelea kutuongoza.
Hii hali ni kama inaelekea kuzoeleka sasa, watanzania tumeridhika, hizo gharama za ziada zinazoingiwa kutokana na huu uzembe wa watawala ni kama watanzania tumeridhika kuubeba.
Bahati nzuri kwao sasa mtu anaongoza wizara iliyomshinda kwa tabasamu kubwa kama vile kila kitu kiko sawa, anajua kazi anayofanya haina masharti ya kufikia viwango vya perfomance, hivyo hata akifeli ni sawa tu mambo yatakwenda.
ππ Hapana ungekuwa haupo, kosa la mzee ndo limepelekea uwepo wako ππNchi moja ya kipumbavu sana.
Mpaka namlaumu mzee kwanini asingeoa na mzungu akiwa nje, sasa hivi ningekua nimepiga chini uraia wa taifa hili la kidwanzi.
Mkuu hata mm niliwaza nikasema lkn kama kuna watu nchii hiihii wanalipia hoteli zaidi ya millioni 1 kwa siku inawezekana kuna wa2 wana matumizi makubwa kuliko navyodhania π₯΄Umeme wa milioni 15 ni kiwanda hicho mkuu?,kinyume na hapo umeongeza sifuri kwa mbele [emoji276]
Bora hata hiyo choice mkuu kuliko hii ya kuzaliwa bongo bahati mbaya badi kantri badi pipo bad everethingππ Hapana ungekuwa haupo, kosa la mzee ndo limepelekea uwepo wako ππ
Waliofaulu ndio wahovyo zaidi mana wamekaa kimya na ni waoga.Hili taifa lina bahati mbaya sana ya kuongozwa na waliofeli lakini ndio kwanza wanaendelea kutengeneza mitandao ya kuendelea kutuongoza.
Hii hali ni kama inaelekea kuzoeleka sasa, watanzania tumeridhika, hizo gharama za ziada zinazoingiwa kutokana na huu uzembe wa watawala ni kama watanzania tumeridhika kuubeba.
Bahati nzuri kwao sasa mtu anaongoza wizara iliyomshinda kwa tabasamu kubwa kama vile kila kitu kiko sawa, anajua kazi anayofanya haina masharti ya kufikia viwango vya perfomance, hivyo hata akifeli ni sawa tu mambo yatakwenda.
πππππHivi hatuwezi kuwatumia application letter wazungu warudi kututawala?
YAH: KUOMBA KUTAWALIWAHivi hatuwezi kuwatumia application letter wazungu warudi kututawala?