Mgao wa Umeme; Kati ya Tarehe 1 - 29 Novemba ametumia Shilingi Milioni 15 kuwasha Generetor

Hakika kila kitu kitapanda bei.

Hapa kwenye biashara ya rafiki yangu ananambia ametumia milion 15 za kuwasha Generator kati ya Nov 1-29. Umeme wa kawaida huwa wanatumia milion 5 tu kwa mwezi.

Sasa anafikilia kupandisha bei kama hari ikiendelea hivi na mwezi huu. Ila anaogopa kupoteza wateja.

Cha kushangaza ana ratiba ya mgao wa umeme lakini kuna mgao ndani ya mgao. Yaani Ratiba ya Mgao haufuatwi.

Kwenu studio na Kipara
Mama yuko zake Dar anapokea Phd
 
Sio kiwanda mk
Umeme wa milioni 15 ni kiwanda hicho mkuu?,kinyume na hapo umeongeza sifuri kwa mbele [emoji276]
sio kiwanda mkuu,mbona hiyo pesa ndogo sana,mkute faida anaingiza million 80 kwa siku,watu wanapiga pesa sana
 
Umeme wa milioni 15 ni kiwanda hicho mkuu?,kinyume na hapo umeongeza sifuri kwa mbele [emoji276]
Tufanye ameongeza sifuri mbele halafu turudi kwenye hesabu ndogo tu

Amewasha genereta kwa siku 29 kwa mujibu wa aliyeleta mada hapa jukwaani.

Tufanye assumption tu kuwa walau genereta imewashwa kwa masaa 12 katika hizo siku 29

Sasa njoo kwenye hesabu:-

1. Wastani wa gharama kwa siku ni = 15,000,000/29 hii ni sawa na TZS 517,241/-

Hizo ni gharama ya Lita ngapi za Diesel? Dizeli kwa Novemba bei ni TZS 3,197

2. Gharama ya Dizeli kwa siku = 517,241/3,197 hii sawa na Lita 161.79 kwa siku

Kwa kuwa hajataja ukubwa wa Generator anayotumia rafiki yake ni ngumu kuamua kama hiyo milioni 15 ni nyingi ama ni ndogo.

Ila kwa kuwa tunaelimishana, sio mbaya nikikupa hizi data
Generator ndogo ya kilowatt 20 itatumia wastani wa kiasi cha lita 6 za dizeli kwa saa moja kama ipo katika full load.

Hii maana yake ni kuwa kwa masaa 12 kama unatumia generator ya Kilowatt 20 itakugharimu 6 x 3,197=19,182/-

Sasa ngoja nikuwekee hapa ukubwa wa generator na LITA za dizel kwa saa linapokuwa kwenye full load zidisha kwa masaa 12 kwa siku 29

Generator 40/50KW = 12 X 3,197 x 12 x 29 = 13,350,672/-

Generator ya 60/75kw = 18 x 3197 x 12 x 29 = 20,026,008/-

Hapo kuna magenereta makubwa zaidi ambayo yanatumia disel nyingi zaidi hivyo gharama kuwa kubwa zaidi.

Kwahiyo kutegemeana na ukubwa wa generator anayotumia na ukubwa wa jengo na vifaa vilivyomo inawezekana kabisa kutumia Milioni 15 kwa mwezi kwa ajili ya generator.

Kuna jengo moja hapa mjini wana generator ambalo likifanya kazi masaa 8 tu inabidi watumie lita 100; hawa kama umeme utakatika mchana kwa kwa masaa 8 kwa siku nne tu katika wiki basi gharama ni 3,197 x 100 x 4 = 1,278,800/-

Ukipata nafasi uliza pale Daraja la Nyerere wanatumia gharama kiasi ya kuendesha generator kwa masaa 12. UTASIKITIKA SANA

Kama kuendesha generator ingekuwa rahisi watu wengi wangekuwa nayo japo ya kuwasha kwenye nyumba zetu. Kama hizi generator za Laki 3 tu watu wanazimbia na hawataki kuwa nazo; ni wazi kuwa kuungurumisha jenereta ni gharama.
 
Mbona kidogo iyo. Ni kama dollars elfu saba tu. Ila dah Makamba na Tanesco wajitafakari.
 
Back
Top Bottom