Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hii Nchi sasa inabidi ifanyiwe Factory Reset.
La sivyo hakuna kitu kitasimama hata tujikakamue vipi. Ni lazima mnyororo na mkondo wa Mafisadi ukomeshwe. Nani wa kuukomesha?
Mafisadi hawawezi kuukomesha. Likes dissolves like hii ni kanuni ya kikemia. Unachagua fisadi unamwingiza kwenye mfumo wa kifisadi hakuna matokeo.
Ndani ya miezi miwili Oktoba Novemba nimeshuhudia mgao wa umeme Arusha, Dar, Lindi, Mtwara, Pwani, Zanzibar.
Hali hii itaisha mpaka lini?
Serikali ya Tanzania imejizatiti chini ya Dr Magufuli kuhakikisha tunapata umeme wa uhakika. Yalisemwa mengi kwamba umeme utakuwa mwingi na mwingine utauzwa nje.
Ghafla bin vuu SGR umeme unasumbua sasa tunataka kununua Dizel😄😄😄😄
Unamaliza elimu ya form four unapewa cheti lakini unaanza tena kurudia form II.
Ndugu zanguni kuna shida kubwa sana kwenye mifumo yetu ya utawala. Na sijui nini kifanyike.
Kama ingekuwa computer au Simu basi virusi vikiingia suluhisho ni Factory Reset. Password zote za wizi na za Hackers zinafutika unaanza upya na kifaa kipya.
Engineer wa kifaa hichi( Tanzania) ni Tundu Lissu Pekee. Let him take the course.
Tutaendelea kupuyanga mpaka lini?