Tundu Lissu ni miongoni mwa viongozi wawazi kabisa, pengine atafaa, hata ukisoma alivyojibu swali hili utaona ame address tatizo la msingi.
Na Mario Vargas Llosa was probably overly pessimistic, au labda hali ya kwao Peru ni mbaya zaidi ya Tanzania. Bado kuna watu wazuri wachache wamo katika siasa, ila kuwatafuta ni kwa tochi, na ngazi ya kuoanda juu imejaa rushwa na uchafu. Tundu Lissu mpaka sasa hana major scandal to my knowledge.
Ila, kitu muhimu hapa ninachoasema ninkuwa, ninaasa tu, tunapotaka kutatua matatizo mengi na makubwa ya nchi yetu, hata tunapochagua viongozi tunaoona wanafaa, tusiwaachie mzigo na kusema "Tundu Lissu anatosha". Hatishi, inabidi asaidiwe, inabidi asimamiwe, inabidi akosolewe.
Tupate mawazo ya wengi hata yeye mwenyewe asibweteke kujiona anaweza kufanaya lolote analotaka.