Mgao wa Umeme Tanzania Nzima, Kisa cha Engine ya Dizeli na Mradi Wa Stigler's HEP, matrilioni yetu Tumepigwa tena?

Nakuunga mkono sana kwenye hayo uloandika hasa kupuyanga kwa CCM kweli hawa watu wanatumaliza. Lakini hapo kwa habari ya LIssu fikiri vizuri zaidi.
Toa ushauri wako mzee, hili jukwaa ni la kumwaga ideas
 
hivi wewe umesoma ulichoandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ