Shida ni watanzania wenyewe wanavumilia wajinga wachache wakiwapa shida hiImagine leo hii kila mtu ana TV na king'amuzi nyumbani, lakini tunalazimika wote kwenda kurundikana bar za vichochoroni zenye jenereta ili kuangalia mechi ya ufunguzi..!! Kwenye mitandao ya kijamii watu wanaulizana ni bar gani kuna jenereta watu wawahi siti.
Tatizo solar ya kuendesha hivi vifaa vya kisasa nayo gharama juu.Poleni sana.
Hivi mpango wa kufunga solar power sehemu kama Dar uko vipi?
Gharama, vibali n.k.
Pia, kwenye maji mpango wa kuvuna maji ya mvua na kuyaweka kwenye hifadhi ya nyumbani ukoje?
Gharama za juu ni zipi?Tatizo solar ya kuendesha hivi vifaa vya kisasa nayo gharama juu.
Hiyo kuvuna maji kuna baadhi ya watu wanafanyaPoleni sana.
Hivi mpango wa kufunga solar power sehemu kama Dar uko vipi?
Gharama, vibali n.k.
Pia, kwenye maji mpango wa kuvuna maji ya mvua na kuyaweka kwenye hifadhi ya nyumbani ukoje?
Serikali tunajua imeoza. Ndiyo maana nashangaa.Hiyo kuvuna maji kuna baadhi ya watu wanafanya
Ila ni aibu kwa serikali hii ya ccm miaka 61 bado tatizo maji na umeme,bado hayo mengine
Ova
Yah,kama utajenga miundo mbinu yako ya kuvuna maji ya mvua,na kuyahifadhi sehemu ambayo yanaweza kuingia kwa uwingi basi hapo utakuwa umeondokana na shidaSerikali tunajua imeoza. Ndiyo maana nashangaa.
Hii ya kuvuna maji ya mvua kwa nini watu wengi hawafanyi?
Sehemu kama Dar, na most of Tanzania, zinapata mvua za kutosha.
Maji ya mvua yanaweza kuondoa sehemu kubwa ya shida ya maji.