TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Imagine leo hii kila mtu ana TV na king'amuzi nyumbani, lakini tunalazimika wote kwenda kurundikana bar za vichochoroni zenye jenereta ili kuangalia mechi ya ufunguzi..!! Kwenye mitandao ya kijamii watu wanaulizana ni bar gani kuna jenereta watu wawahi siti.