actually,
no reform no elections ilikua ni kwa maslahi binafsi ya Lisu. Lengo ililitokana na yeye kutokua na pesa ya kampeni wala sera za kunadi, na alipojitathimini akaona hakuna uwezekano kabisaa wa kushinda uchguzi wa October,
kwa ubinafsi huo,
akataka eti chadema wote wakose fursa ya kugombea ubunge na udiwàni ili wawe kama yeye ambae hawezi kitu kwasababu ya ukata.
Hata hivyo,
vyama vingine vya siasa vitapata fursa ya kujipambanua zaidi kwa wananchi 🐒