Mgawanyiko wa makanisa, ni mbinu ya shetani?

Ndio tafsiri ya mwili wa kristo
Mmoja ni kichwa mwingine mikono mwingine miguu n.k lengo ni kukamilisha mwili wa kristo
 
Kanisa likikuwa moja hapo awali, ilikuwaje tukapata mgawanyiko.? Mfano😛entekoste, Orthodox na roman catholic, wasabato, nk.
Mwenye uelewa atujuze.
Yani we dini ujui hata kidogo.
Makanisa yamekuja juzi alafu unasema kanisa lilikuwa moja.
 
hapana,sababu kubwa ni kutofautiana uelewa wa kuichambua/kuisoma bibilia

pili,ni hisia za mwanadamu mfano yule king charles wa pili na kanisa lake la pentakonte i think

tatu,ni aina za mafundisho ya viongozi/wachungaji ambapo ni kama addition ya point ya mwanzo.

nne,zama/vipindi

tano,dola/ukanda/mfano ukienda italy wengi ni roman ila ukienda uengereza kuna luther

yote kwa yote,viongozi na uelewa wao juu ya neno ndiyo sababu ya mkanganyiko...kuna watu wanaamini mungu ni mkuu na kuna wengine wanaamini mungu ni mwanadamu.
 
kama ilibidi liwe kanisa moja basi Yesu asingeacha mitume 12 ,angeacha mtume mmoja tu.
 
hapana,sababu kubwa ni kutofautiana uelewa wa kuichambua/kuisoma bibilia

pili,ni hisia za mwanadamu mfano yule king charles wa pili na kanisa lake la pentakonte i think

tatu,ni aina za mafundisho ya viongozi/wachungaji ambapo ni kama addition ya point ya mwanzo.

nne,zama/vipindi

tano,dola/ukanda/mfano ukienda italy wengi ni roman ila ukienda uengereza kuna luther

yote kwa yote,viongozi na uelewa wao juu ya neno ndiyo sababu ya mkanganyiko...kuna watu wanaamini mungu ni mkuu na kuna wengine wanaamini mungu ni mwanadamu.
pwent
 
shetani anasingiziwa mengi sana. hizo ni janjajanja za binadam kujipatia keshoyake aka maokoto
 
Wasabato ni wakiristo maana neno SDA kirefu chake ni seventh day Adventist watu wanao mngojea Yesu Mara ya pili na wanashika amri za Mungu na amani ya Yesu .Ufun 14:12
Seventh Day(7)ni smply siku ya saba/sabato.Sasa hapo wanajinasibishaje na Ukristu na si uyahudi?
 
Wasabato ni wakiristo maana neno SDA kirefu chake ni seventh day Adventist watu wanao mngojea Yesu Mara ya pili na wanashika amri za Mungu na amani ya Yesu .Ufun 14:12
kwanini wajiite wasabato , kwanini wasijiite majina mengine kupitia amri za MUNGU kama usiue, usiibe, usiseme uongo, maana WASABATO jina zaidi limelenga siku ya kupumzika na kuabudu ikiwa ni miongoni mwa amri za MUNGU, sijui nimeeleweka?.
 
Kanisa likikuwa moja hapo awali, ilikuwaje tukapata mgawanyiko.? Mfano😛entekoste, Orthodox na roman catholic, wasabato, nk.
Mwenye uelewa atujuze.

Wapi imeandikwa kulikuwa na kanisa moja?
 
Back
Top Bottom