Mgawanyo wa hisa za 'startup'

Mgawanyo wa hisa za 'startup'

Izzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
553
Reaction score
1,144
Hello great thinkers,

Mimi ni Mjasiriamali, na naingia rasmi katika ulimwengu wa startups. Sasa kuna jambo moja linanitatiza, nikaona kabla ya sijamtafuta mwanasheria nijaribu kupata maarifa toka kwa great thinkers.

Ni hivi; Nina kampuni mpya, directors tupo wawili - tumeamua kuwa tugawane ownership equally kwa 30%. Na 40% inayobaki itumike kwa uendeshaji wa kampuni. I mean pamoja na Mambo mengine tunafahamu kuwa along the way tutahitaji watu - na kwa kuwa hatuna mtaji wa kutosha it's obvious tutawalipa kwa 'equity' ndo hiyo 40%.

SWALI: Kwenye memart hiyo 40% inakaaje: How do you precisely indicate those 40% of shares, Who is the owner and hence who will sign.

Thanks in advance, naomba kuwasilisha.
#Virus

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello great thinkers,

Mimi ni Mjasiriamali, na naingia rasmi katika ulimwengu wa startups. Sasa kuna jambo moja linanitatiza, nikaona kabla ya sijamtafuta mwanasheria nijaribu kupata maarifa toka kwa great thinkers.

Ni hivi; Nina kampuni mpya, directors tupo wawili - tumeamua kuwa tugawane ownership equally kwa 30%. Na 40% inayobaki itumike kwa uendeshaji wa kampuni. I mean pamoja na Mambo mengine tunafahamu kuwa along the way tutahitaji watu - na kwa kuwa hatuna mtaji wa kutosha it's obvious tutawalipa kwa 'equity'... ndo hiyo 40%.

SWALI: Kwenye memart hiyo 40% inakaaje: How do you precisely indicate those 40% of shares,... Who is the owner and hence who will sign.

[emoji120] Thanks in advance; naomba kuwasilisha.
#Virus

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nyie peaneni 50% each.Atakapokuja mtu kununua basi kila mmoja anatoa kiasi cha hisa zake anamuuzia huyo muwekezaji.Kama wote mtakuwa mmelipia hisa zenu basi ukiuza unavuta mkwanja.Kama wote hamjalipia hisa zenu basi mkwanja unaingia katika uendeshaji.
 
Nashauri (sio kitaalamu) hiyo 40% signatories muwe wote wawili kwa vile mnaendesha biashara kwa mfumo wa partnership.
 
Mkuu nyie peaneni 50% each.Atakapokuja mtu kununua basi kila mmoja anatoa kiasi cha hisa zake anamuuzia huyo muwekezaji.Kama wote mtakuwa mmelipia hisa zenu basi ukiuza unavuta mkwanja.Kama wote hamjalipia hisa zenu basi mkwanja unaingia katika uendeshaji.
Nimekusoma vyema kabisa, Asante sana kwa mwomgozo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Virus, so kutokana haujarejista hii comp as a partneshp mnatakiwa kumsamisha mmoja wenu asimame kama owner ili asain doc za memorndm, na pia wazo lenu la 60 to 40 sio mbaya coz bada mnataka kuexpand capital, so mmoja asimame kama owner na wewe uonekane pale kwamba umechukua 30 percent of shares.

ila all in all ningeshauri boss mnatakiwa muifanye kama partnrshp, ila hizo signatories ziwe known na hata kama kuna ishu za mbeleni zisifall under one person, na pia hii inataweza kuondoa conflicts na changamotto za uendeshaji huko mbeleni. people do change mkuu.
Oh ok. Actually tupo katika mchakato wa kusajili kampuni kawaida, halafu hisa ndo tugawane kwa asilimia nilizozisema hapo juu - zionekane mpaka kwenye MEMART.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee
Mkuu Virus, so kutokana haujarejista hii comp as a partneshp mnatakiwa kumsamisha mmoja wenu asimame kama owner ili asain doc za memorndm, na pia wazo lenu la 60 to 40 sio mbaya coz bada mnataka kuexpand capital, so mmoja asimame kama owner na wewe uonekane pale kwamba umechukua 30 percent of shares.

ila all in all ningeshauri boss mnatakiwa muifanye kama partnrshp, ila hizo signatories ziwe known na hata kama kuna ishu za mbeleni zisifall under one person, na pia hii inataweza kuondoa conflicts na changamotto za uendeshaji huko mbeleni. people do change mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Virus, so kutokana haujarejista hii comp as a partneshp mnatakiwa kumsamisha mmoja wenu asimame kama owner ili asain doc za memorndm, na pia wazo lenu la 60 to 40 sio mbaya coz bada mnataka kuexpand capital, so mmoja asimame kama owner na wewe uonekane pale kwamba umechukua 30 percent of shares.

ila all in all ningeshauri boss mnatakiwa muifanye kama partnrshp, ila hizo signatories ziwe known na hata kama kuna ishu za mbeleni zisifall under one person, na pia hii inataweza kuondoa conflicts na changamotto za uendeshaji huko mbeleni. people do change mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alright, nashukuru kwa ushauri mzuri - nitaufanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom