Mgawanyo wa ushiriki wa kombe la dunia ukoje kila Bara?

Mgawanyo wa ushiriki wa kombe la dunia ukoje kila Bara?

mahindi hayaoti mjini

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
2,120
Reaction score
2,709
Mbona kama wazungu wanatuzidi akili?

Kwa anayejua kutoka mabara yote nchi ngapi kila bara linapata nafasi ya kuwakilisha na vipi ni vigezo?

Najua Afrika ni nchi tano, kuna Ulaya, America, Asia, Australia sijui na nani tena, lakini mbona Ulaya itoe nchi nyingi?
 
Kila bara linapewa timu kutokana na timu zake zinavyofanya vizuri
Timu za Ulaya zinafanya vizuri na kuchukua kombe hilo nara nyingi wakati Afrika hakuna iliyowahi kufikia nusu fainali

Ni kama kwenye UEFA na CAF, nchi zinazofanya vizuri hutoa club nyingi zaidi kuliko wengine
 
Africa tulistahili timu 4 tu kwakua uwezo wetu ni robo fainal ya kombe la Dunia, kilicho tufanye tupate izo Tano ni hongo ya Chaguzi za Fifa kwakua tuna mataifa 54 member wa Fifa. Kutokana na wingi wa mataifa ayo ni faida Kwa ananayetaka kutu tumia.
 
Mbona kama wazungu wanatuzidi akili?

Kwa anayejua kutoka mabara yote nchi ngapi kila bara linapata nafasi ya kuwakilisha na vipi ni vigezo?

Najua Afrika ni nchi tano, kuna Ulaya, America, Asia, Australia sijui na nani tena, lakini mbona Ulaya itoe nchi nyingi?
Mgawanyo unaendana na viwango vya soka. Afrika haijawahi kupeleka timu hatua ya nusu fainali, hata hiyo robo fainali ni mara chache sana. Kwa maoni yangu, hata timu tano kwa Afrika ni nyingi sana, imependelewa
 
Mbona kama wazungu wanatuzidi akili?

Kwa anayejua kutoka mabara yote nchi ngapi kila bara linapata nafasi ya kuwakilisha na vipi ni vigezo?

Najua Afrika ni nchi tano, kuna Ulaya, America, Asia, Australia sijui na nani tena, lakini mbona Ulaya itoe nchi nyingi?
hahahahaha,mkuu iko hv k fifa wamegawa hizo nafasi kwa mpangilio huu, afica timu 5,mwenyenji timu 1,ulaya timu 13, kuna asia wao timu 3 au 4, kuna ocean timu 1 au 0,kuna amerika ya kati na kaskazini timu 4,kuna amerika kusini timu 5

NB: KIGEZO NI UBORA WA TIMU ( NCHI)
*Timu=nchi

Nimejaribu vile najua,wengine wataongezea
 
Nani alipitisha kama ulaya wanajua zaidi wapewe 13,mimi naona America kusini wanajua zaidi
 
Europe - 15
1.Holland:Group A
2. England: B
3. Wales: B
4.France:C
5.Denmark: C
6.Poland;D
7. Croatia:E
8.Belgium:E
9.Spain:F
10.Germany:F
11.Portugal:G
12.Serbia:H
13. Switzland:H

Africa - 5
1.Senegal : A
2.Tunisia: C
3. Morocco:E
4. Ghana : G
5.Cameroon:H

Asia - 5
1.Qatar:A
2.Iran:B
3.Saudi Arabia😀
4.South Korea:G
5.Japan:F

South America
1.Equador:A
2.Argentina😀
3.Coast Rica:F
4.Uruguay:G
5.Brazil:H

North America
1.USA:B
2.Mexico😀
3. Canada: E

Australia
1.Australia:C
 
Back
Top Bottom