Mgawanyo wa ushiriki wa kombe la dunia ukoje kila Bara?

Mgawanyo wa ushiriki wa kombe la dunia ukoje kila Bara?

Tungepewa mgawanyo sawa ungekuta ubao unasoma France 15-Burundi 1😂😂😂
 
Nani alipitisha kama ulaya wanajua zaidi wapewe 13,mimi naona America kusini wanajua zaidi
Nakubaliana na wewe. Wazungu wanaonekana kufanya vizuri kwakuwa wanaingiza tumu nyingi hivyo probably inawabeba. Kwenye timu 15 walizoingia nazo kwenye hatua ya 16 karibia nusu zimetoka
 
Nakubaliana na wewe. Wazungu wanaonekana kufanya vizuri kwakuwa wanaingiza tumu nyingi hivyo probably inawabeba. Kwenye timu 15 walizoingia nazo kwenye hatua ya 16 karibia nusu zimetoka
Wingi sio hoja,South Amerika wanaingiza timu 5 lakini wanafanya vizuri
Kama timu kubwa kama Cameroon ilishindwa kuifunga timu ndogo ya Ulaya kama Switzerland kuna ubora gani?
Kama Ivory coast ya akina Drogba na Yaya Toure walishindwa kuifunga hata ugiriki, kuna ubora gani?
 
Uruguay imetwaa kombe, Mexico ilifika fainali, uruguay ilicheza fainali tena
Brazil imechukua mara sita ukijumlisha na mwaka huu
Urugay imechukua kombe mwaka 1950😂😂
Mexico haijawahi kufika hata nusu fainali, achilia mbali hiyo fainali, Mexico imeshindwa kuifunga hata Poland ambayo ni kilaza Ulaya
 
Nani alipitisha kama ulaya wanajua zaidi wapewe 13,mimi naona America kusini wanajua zaidi

Shida sio kujua mpira ila tatizo ni linakuja timu za Afrika huwa hazifanyi vizuri kwenye mashindano ya WC ndiyo mana tuna nafasi hizo na ndiyo mana Ulaya wana timu nyingi kuliko bara lolote...

Ikatokea mara 2 au tatu timu mbili za Afrika zika fika hatua za juu zaidi tuta ongezewa timu.....

Kombe la dunia linalo kuna Afrika itakuwa na timu 9
 
Nani alipitisha kama ulaya wanajua zaidi wapewe 13,mimi naona America kusini wanajua zaidi
Vigezo ni wastani wa pointi kwenye msimamo wa FIFA na pia wingi wa nchi kwenye bara husika. Ni kweli nchi za Amerika ya kusini ziko vizuri kisoka lakini pia ziko chache kulinganisha na Ulaya.
 
Back
Top Bottom