mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
πππHamuoni swali au zarau?
Au ni usiku mmelala?
Tuache kwanza tumeamka na hangoverHamuoni swali au zarau?
Au ni usiku mmelala?
Tatizo uwezo maana mpaka saa hii timu tatu za ulaya zishatimba roboWazingu ni kama ccm tu,wanavitambua vyama siasa kama usahahidi tu!ila ukweli hawavitaki
Mgawanyo unaendana na viwango vya soka. Afrika haijawahi kupeleka timu hatua ya nusu fainali, hata hiyo robo fainali ni mara chache sana. Kwa maoni yangu, hata timu tano kwa Afrika ni nyingi sana, imependelewaMbona kama wazungu wanatuzidi akili?
Kwa anayejua kutoka mabara yote nchi ngapi kila bara linapata nafasi ya kuwakilisha na vipi ni vigezo?
Najua Afrika ni nchi tano, kuna Ulaya, America, Asia, Australia sijui na nani tena, lakini mbona Ulaya itoe nchi nyingi?
Hivi ndivyo hufeli mitihani aisee2026 zitakuwa 48 Africa zitaongezeka
hahahahaha,mkuu iko hv k fifa wamegawa hizo nafasi kwa mpangilio huu, afica timu 5,mwenyenji timu 1,ulaya timu 13, kuna asia wao timu 3 au 4, kuna ocean timu 1 au 0,kuna amerika ya kati na kaskazini timu 4,kuna amerika kusini timu 5Mbona kama wazungu wanatuzidi akili?
Kwa anayejua kutoka mabara yote nchi ngapi kila bara linapata nafasi ya kuwakilisha na vipi ni vigezo?
Najua Afrika ni nchi tano, kuna Ulaya, America, Asia, Australia sijui na nani tena, lakini mbona Ulaya itoe nchi nyingi?
Nani alipitisha kama ulaya wanajua zaidi wapewe 13,mimi naona America kusini wanajua zaidihahahahaha,mkuu iko hv k fifa wamegawa hizo nafasi kwa mpangilio huu, afica timu 5,mwenyenji timu 1,ulaya timu 13, kuna asia wao timu 3 au 4, kuna ocean timu 1 au 0,kuna amerika ya kati na kaskazini timu 4,kuna amerika kusini timu 5
NB: KIGEZO NI UBORA WA TIMU ( NCHI)
*Timu=nchi
Nimejaribu vile najua,wengine wataongezea
Katika 12 zitazoongezeka, afrika atapewa moja, south America 1 asia moja na wao watajipa tisa, wazungu ni sheeeeedaaaa2026 zitakuwa 48 Africa zitaongezeka