Mgawo wa umeme kufika Ikulu kesho Jumapili 18.02.2024

NI vizuri nao wajue tunayopitia. Tena ingekuwa wiki nzima
Wakikatiwa wao ndio unadhani watakaa Giza kama wewe?

Spika wa bunge kawapa muda Tanesco mpaka mwezi wa 6 unajuwa Kwa nini? Yeye shida ya umeme haimuathili chochote, Nyumbani ana standby genereta, ofisini lipo na kwenye gari full unyunyu Sasa ana shida gani?

Mama alivyotoka Monduli kaunganisha KIA karuka yupo Ethiopia SAA hizi, nyinyi kaeni na shida zenu umeme kateni mpaka ikulu wao wana shida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…