Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweny kambi za jeshi hawakati,wataweza kukata ikulu?Mnazugwa nanyi Majuha Mnakubali . Hilo Tangazo limekuja kwa Makusudi ili mpunguze Malalamiko na mjue kuwa hata na Kwake Madame Nchi Siiwezi na Imenishinda pia huwa anakatiwa Umeme. Hivi kwa Akili tu ya kawaida unaamini kuwa TANESCO wana jeuri ya Kuzima Umeme Ikulu?
Siku grid yote ikianguka, top management na baraza la usalama wanaenda kuripoti ikulu, kujieleza nini kimetokea?Kweny kambi za jeshi hawakati,wataweza kukata ikulu?
Hayati Magufuli tunakukumbuka sana kama ulivyotutabiria!
Sasa mkuu kama TANESCO wamekata umeme ikulu, hapo Muhimbili si ndo wataondoa na nyaya kabisa!!?Naona na Muhimbili leo hatuna umeme kama tangazo linavyosema
Hujielewi wewe,wenzako Wana standby Generator hata hawezi kujua kama umeme umekatikaNI vizuri nao wajue tunayopitia. Tena ingekuwa wiki nzima