Mgawo wa umeme kufika Ikulu kesho Jumapili 18.02.2024

Kweny kambi za jeshi hawakati,wataweza kukata ikulu?
 
Kweny kambi za jeshi hawakati,wataweza kukata ikulu?
Siku grid yote ikianguka, top management na baraza la usalama wanaenda kuripoti ikulu, kujieleza nini kimetokea?
- Maana yake ni kuwa umeme umekatika hadi ikulu, inaeleweke ni UHAINI.

Kama wanadhani jambo hilo la kuzima umeme ikulu ni kweli, wafuatilie kujua hiyo line ya ikulu inatokea wapi na kama imechangamana na watumiaji wengine.
- Si tunao mitaani, wanasema vizuri tu, mgao ni kwa baadhi ya maeneo nchini, hususani mikoani, wao ni kadi maalum.

Kaangalie, solar panel ziliko, ndiko kwenye mgao!
 
Naona na Muhimbili leo hatuna umeme kama tangazo linavyosema
 
Naona na Muhimbili leo hatuna umeme kama tangazo linavyosema
Sasa mkuu kama TANESCO wamekata umeme ikulu, hapo Muhimbili si ndo wataondoa na nyaya kabisa!!?
 
Ikulu hata ikiwa na mshumaa I could care less..., Issue ni hizo hospitali ambazo ndugu zetu wanaweza kupoteza maisha au hospitali kuingia gharama za magenerator wakati pesa hizo zingetumika kuongezewa kwenye utabibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…