Kwa kigamboni sw.lakini kinondoni wakikata ni masaa 12. Na bila taarifa kiongozi.Niko Kigamboni, eneo ninaloishi umeme unakatika hata mara tatu kwa siku ila hauzidi dakika 10 unarudi. Pia tulikuwa na tatizo kubwa la low voltage limeisha sasa. Sikumbuki mara ya mwisho ni lini umeme ulikatika kwa muda mrefu. Kwa mara yavkwanza naweza kusema Tanesco wanajitahidi.
Niko Kigamboni, eneo ninaloishi umeme unakatika hata mara tatu kwa siku ila hauzidi dakika 10 unarudi. Pia tulikuwa na tatizo kubwa la low voltage limeisha sasa. Sikumbuki mara ya mwisho ni lini umeme ulikatika kwa muda mrefu. Kwa mara yavkwanza naweza kusema Tanesco wanajitahidi.
Hii tabia ya kupayuka mambo ya hearsay ndio Huwa Ina wa costHabari,
Hali ya mgawo wa umeme imerejea kwa kasi sana ni wiki tangu kuanza kwa changamoto hii. Ndani ya jiji la Dar es Salaam wilaya ya kinondoni hali sio nzuri.
Watanganyika tulijua baada ya Bwawa kukamilika ingekua ni mwarobaini tosha ya kukatika katika huku. TANESCO wilaya wametenga masaa 12 ndio warejeshe umeme kila wanapo kati umeme. Hii ni mbaya kwa uchumi wa Tanganyika hii.
Kuna tetesi pia kua Tanganyika inauza umeme Zambia huko hali yao sio poa kabisa. Kama mnauza mmeamua sisi tuteseke?
TANESCO tunaomba mtutangazie ratiba kamili kuhusu mgawo huu.
Kwa maana fupi BWAWA LA MWL NYERERE sio mkombozi kwa taifa.
ASANTE.
Tupo kiangazi, uvumilie mvua zinakaribia kuanza kunyesha.Kuna shida kubwa ya Low voltage,mkoa wa mbeya ususisani Jimbo la chunya!
Na hiyo hela wanapata kutoka Zambia wanatafuna tuNackia wameuza kwenda Zambia iyo njia ndio wametumia kupeleka uko.kiongozi
Sasa hapo tatizo sio umeme kutokuwepo Bali njia za kusafirisha umeme na mashine umba ndio Hazina uwezo na ndio kazi ambayo Tanesco inafanya Kwa Sasa Nchi nzima kubadili nyaya na transformer ziendane na mahitaji.Kuna shida kubwa ya Low voltage,mkoa wa mbeya ususisani Jimbo la chunya!