ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
🚮🚮Nackia wameuza kwenda Zambia iyo njia ndio wametumia kupeleka uko.kiongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🚮🚮Nackia wameuza kwenda Zambia iyo njia ndio wametumia kupeleka uko.kiongozi
Wewe una shida gani na hilo bonge la stendby generator?Niko Kigamboni, eneo ninaloishi umeme unakatika hata mara tatu kwa siku ila hauzidi dakika 10 unarudi. Pia tulikuwa na tatizo kubwa la low voltage limeisha sasa. Sikumbuki mara ya mwisho ni lini umeme ulikatika kwa muda mrefu. Kwa mara yavkwanza naweza kusema Tanesco wanajitahidi.
Sasa hapo tatizo sio umeme kutokuwepo Bali njia za kusafirisha umeme na mashine umba ndio Hazina uwezo na ndio kazi ambayo Tanesco inafanya Kwa Sasa Nchi nzima kubadili nyaya na transformer ziendane na mahitaji.
Na hata samsungi zetu tutachajia chemli haina haja ya umeme kwa kweli!!!Umeme wa nini sasa?Mkinaswa na nyaya je?Vibatari na mishumaa hamvioni?🤔
Sijui lini tutakuwa seriousTAREHE ya kuanza hakuna tarehe ya kumalizika. Hii ndio Tanganyika.
Ni kweri na songwe pia ni shida.Kuna shida kubwa ya Low voltage,mkoa wa mbeya ususisani Jimbo la chunya!
Kabisakabisa.Au myaanike mabetri yajichaji.Na hata samsungi zetu tutachajia chemli haina haja ya umeme kwa kweli!!!
Kumpatia mtu aendeshe hawawezi kukubali ndiko wanako patia magumashi yao. Ila ingekua sahihi MNO.Tunaomba Serikali kuhusu UMEME wapeni watu binafsi kama mulivyofanya lines za simu na umeme fanyeni hivyo hivyo .Umeme kwa kweli UMEWASHINDAAA Na huwezi kuwa na Maendeleo katika nchi kama huna Energy ya UHAKIKA.Hawezi kuja muekezaji hapa bila ya kuwa vitu hivyo vya uhakika tena standard sio kuzidi na kushuka .Dubai umeme na maji hayakatiki.Ndio maana wanaendelea.