Mgawo wa Umeme umerudi upya baada ya kukamilika kwa Bwawa la Mwalimu Nyerere?

Labda kuna changamoto kwenye mfumo wa usambazaji umeme, ila kwa upanda wa uzalishaji umeme unatosha.
 
Mpk sasa ni saa 3:13 tarehe 16-9-2024. Hujarudi umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…