Mgaya awauza walimu, atangaza mgomo alafu akimbia

Mgaya awauza walimu, atangaza mgomo alafu akimbia

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
477
Reaction score
120
Mgaya ametangaza maandamano na kukimbia kipindi wafanyakazi wanahitaji muongozo kwa dhati. Mgaya umetia aibu kuu jitokeze ama ukanushe au utoe muongozo
 
...hahahaaaaaa...Mgaya!! Labda aliropoka tu pasi na kujua anazungumza nini.
 
Mgaya alishanunuliwa ka Zitto
wote ni walewale,
 
Mukoba na Mgaya hatujafikia hatua ya kuwalinganisha. Kipindi hiki Mukoba kaamua.
 
Mgaya amekumbuka kale kausemi AKILI YAKUAMBIWA CHANGANYA NA YAKWAKO.Mgaya yuleeeeeeeeeeee
 
Huyo jamaa si alipongeza polisi kumkamata mkenya kuwa ndiye mtesi wa dr.Uli. Was he serious kweli?
 
Kwaa maoni yangu porojo zimezidi kwa viongozo "Mapinduzi ya kweli yataletwa na wanaharakati wazalendo aluta continua"
 
Back
Top Bottom