Mgeni akija unampa nini..?

prickle

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
293
Reaction score
427
Habari za muda Huu wakuu poleni Na shida zote mnazokumbana nazo katika kutafuta Mkate wa kila Siku bila kuchelewa niende kwenye Mada Husika...!

Zamani ilikuwa Mgeni akija Nyumbani kwako Unampa/Atakuomba albamu ya picha lakini sasa hivi Mgeni akija Nyumbani cha kwanza atakuomba/ ataulizia Chaji ya Simu wageni wangu wa karne hii Ni Chaji ya simu Je, wewe Mgeni akija kwako kitu gani cha kwanza atakuomba.?
 
SIRIES ZILIZOTAFSRIWA NA DJ MURPHY
 
Zile nyimbo za ccm za kampein ," wacha waseme chama cha mapindizi kina wenyweeee" in komba's voice ,na mtaisoma namba.....
 
Mimi nikienda ugenini napata tabu uhuru wa kwenda bar kupiga mabapa. Naona bora nifikie gesti kama sikai siku nyingi.
Unaenda Gesti alafu unakutana na Jeshi la Wafu sijui kifuatacho ITV
 
Anapewa mahitaji yote kama wapatavyo wenyeji wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…