Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungenitaja peke yangu kesho ningekuwa mgeni wako. Tatizo hapo eti na Daby yupo. My sister ushasahau law of flotation? Daby hana tofauti na boti ya uvuvi... inavua kambale na dagaa regardless.Am not good around people. Very uncomfortable around human beings.
Sijui hata nipoje. I'd be more comfortable with a cow or a goat.
So huwa nakwepa sana kwenda kwa watu. Na ikitokea nimeenda basi I have butterflies in my tummy mwanzo mwisho. I wriggle my fingers all the time.
Ila sasa nikipata wageni nafurahiiiiii, am the best hostess utafurahi tu kuwa home kwangu. Na napenda mgeni awe free.
Daby, Asprin Hornet Madame S Come see your Dada
Ungenitaja peke yangu kesho ningekuwa mgeni wako. Tatizo hapo eti na Daby yupo. My sister ushasahau law of flotation? Daby hana tofauti na boti ya uvuvi... inavua kambale na dagaa regardless.
Baada ya kusema hayo nepanda kukufahamisha kuwa mimi na familia yangu tunakupenda pia na tunakuwish happy birthday to you too on your graduation day.
hhahaa kwanza nimekumiss sana dada angu, naomba nikishazawijiwa nije na shemejio tukutembelee ipendeze zaidi,Am not good around people. Very uncomfortable around human beings.
Sijui hata nipoje. I'd be more comfortable with a cow or a goat.
So huwa nakwepa sana kwenda kwa watu. Na ikitokea nimeenda basi I have butterflies in my tummy mwanzo mwisho. I wriggle my fingers all the time.
Ila sasa nikipata wageni nafurahiiiiii, am the best hostess utafurahi tu kuwa home kwangu. Na napenda mgeni awe free.
Daby, Asprin Hornet Madame S Come see your Dada
hhahaa kwanza nimekumiss sana dada angu, naomba nikishazawijiwa nije na shemejio tukutembelee ipendeze zaidi,
Kwa watu ni kwa watu tu, me hua nakuwaga si msemaji nikiwa kwa watu, najitia aibu kibao lakini mtu huyo akiwa mgeni wangu atafurah napenda kumuona anafraha na mchangamfu
shukran dada tumekaribiaKumbe am not alone eeeeh.
InshaAllah khayr karibuni sana.
Miss ya!
Wewe ni kabila Moja na shemeji yako kwa Maana herufi "n" Mnaitendea haki vizuriinategemea kati ya ntu na ntu... unajua kila ntu yupo tafauti sasa akija ntu huyu unampa hichi na akija ntu yule una hichi basi tafrani tu
hahahaah..... thanks by the way me ni mtu wa bara 😂😂😂 hyo "n" ni nakshi tu 😂Wewe ni kabila Moja na shemeji yako kwa Maana herufi "n" Mnaitendea haki vizuri
Your Welcome chief