Mgeni akija unampa nini..?

mgeni wangu wa kike hupendelea kukaa kwenye kitanda changu kipya cha comfy
 
inategemea na mgeni mwenyewe.kama ni baba/mama mwenye nyumba nitajua kaja kwa shari tu, kuongeza kodi nk.
 
Am not good around people. Very uncomfortable around human beings.

Sijui hata nipoje. I'd be more comfortable with a cow or a goat.

So huwa nakwepa sana kwenda kwa watu. Na ikitokea nimeenda basi I have butterflies in my tummy mwanzo mwisho. I wriggle my fingers all the time.

Ila sasa nikipata wageni nafurahiiiiii, am the best hostess utafurahi tu kuwa home kwangu. Na napenda mgeni awe free.

Daby, Asprin Hornet Madame S Come see your Dada
 
Ungenitaja peke yangu kesho ningekuwa mgeni wako. Tatizo hapo eti na Daby yupo. My sister ushasahau law of flotation? Daby hana tofauti na boti ya uvuvi... inavua kambale na dagaa regardless.

Baada ya kusema hayo nepanda kukufahamisha kuwa mimi na familia yangu tunakupenda pia na tunakuwish happy birthday to you too on your graduation day.
 
inategemea kati ya ntu na ntu... unajua kila ntu yupo tafauti sasa akija ntu huyu unampa hichi na akija ntu yule una hichi basi tafrani tu
 

πŸ˜‚πŸ˜‚

Aisee.
 
hhahaa kwanza nimekumiss sana dada angu, naomba nikishazawijiwa nije na shemejio tukutembelee ipendeze zaidi,

Kwa watu ni kwa watu tu, me hua nakuwaga si msemaji nikiwa kwa watu, najitia aibu kibao lakini mtu huyo akiwa mgeni wangu atafurah napenda kumuona anafraha na mchangamfu
 


Kumbe am not alone eeeeh.

InshaAllah khayr karibuni sana.

Miss ya!
 
inategemea kati ya ntu na ntu... unajua kila ntu yupo tafauti sasa akija ntu huyu unampa hichi na akija ntu yule una hichi basi tafrani tu
Wewe ni kabila Moja na shemeji yako kwa Maana herufi "n" Mnaitendea haki vizuri

Your Welcome chief
 
Wewe ni kabila Moja na shemeji yako kwa Maana herufi "n" Mnaitendea haki vizuri

Your Welcome chief
hahahaah..... thanks by the way me ni mtu wa bara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hyo "n" ni nakshi tu πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…