Mgeni Hapa

Mgeni Hapa

Left Wing

Member
Joined
Mar 28, 2010
Posts
53
Reaction score
20
Hi Every one, am new here, hope nitapata Ushirikiano Mzuri

Wasalaam

Mrengo wa Kushoto
 
karibu mkuu, sijisikie upo tofauti na Majanvi mengine ambayo umeshawahi kupita, hapa ni nyumba ya Great Thinkerz,
 
Hi Every one, am new here, hope nitapata Ushirikiano Mzuri

Wasalaam

Mrengo wa Kushoto

Karibu sana Mkuu kuna maright wing 🙂 kiasi hapa waangalie sana wasikubadilishe msimammo wako. Mimi niko neutral 🙂
 
Mkulu karibu

naona unabisha hodi Washington DC pia....
 
Back
Top Bottom