Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa mmoja anatufundisha kupata one ya 3 tukiwa hatuna hata Mia mfukoni tunapiga miayo tuIlikuwaje mkuu,,,niweke wazi katka mfumo mzima
Unaijua na PM mpendwa mgeni wetu!!!!😳😳😳Pia naomba jinsia ya kike na wa kiume mmoja il twende pm nipate maelekezo kadhaa ,,,sins udhoefu sana jf
Atakuwa anatafuta Mwanaume.Unaijua na PM mpendwa mgeni wetu!!!!😳😳😳
[emoji13] [emoji13]Jitahidi kuleta vitu vipya vyenye manufaa usije ukawa kama CCNP Engineer
Karibu sanaMimi ni mgeni humu ndani ila ni msomaji wa mda ,kwa hyo tutakuwa wote ,,