Tatizo Usipo Wabana Mapema Baadae Wakisha Zoea Hata Shikamoo hawakupi! Hivyo Acha Tu Tumchukue Maelezo Kwanza Au Ndugu Mjumbe Unasemaje Juu Ya Hilo?Haha..!!
JF mbona hamjui kukirimu mgeni jamani, mpaka anasema atasepa mazima seriously??
Hivi niliwafundisha hivyo kweli??
Mgeni mwenyewe jeuri ka nini!!Haha..!!
JF mbona hamjui kukirimu mgeni jamani, mpaka anasema atasepa mazima seriously??
Hivi niliwafundisha hivyo kweli??
nidhamu ya uoga hiyo, shikamoo itakusaidia nini humu, ukukiziitaji sema tu hata 100 kwa pupa
Tatizo Usipo Wabana Mapema Baadae Wakisha Zoea Hata Shikamoo hawakupi! Hivyo Acha Tu Tumchukue Maelezo Kwanza Au Ndugu Mjumbe Unasemaje Juu Ya Hilo?
dag! naona somo la hukumu hukulichezea kabisa ,hongera
Mgeni mwenyewe jeuri ka nini!!
una uhakika unachokinena mkuu?
Kijana acha kutumia mihadarati
napita tu hapa, fb fresh sana kule hakuna mtu kujikweza mara nataka shikamoo mara mimi haitumii mihadarati wewe acha, kule hamna kitu mbofumbofu kama hii
Upepo Wa Kisulisuli Umetuletea Hadi Watu Kutoka Facebook Dah!!. Hii Sasa Haiko Sawa.
Nimejikuta tu naimba 'dunia haina huruma' Bwana mjumbe..!!Tatizo Usipo Wabana Mapema Baadae Wakisha Zoea Hata Shikamoo hawakupi! Hivyo Acha Tu Tumchukue Maelezo Kwanza Au Ndugu Mjumbe Unasemaje Juu Ya Hilo?
Mgeni Ameshaaga Kasema Anarudi Aliko Zoea Huku Tuna Maswali mengi pia Tunajikweza Tofauti Na Fb. Hivi Ndugu Mjumbe Maneno Ya Mgeni Ni Yakweli!Nimejikuta tu naimba 'dunia haina huruma' Bwana mjumbe..!!
ID YAKO YA ZAMANI NI IPI?niliwahi sikia kuna msanii aliandika herufi (maneno) katika punje ya mchele
umenifurahisha SANA nini kilichokusukuma kiniuliza swali hilo? (MGENI)
ID YAKO YA ZAMANI NI IPI?
Nashukuru ila labda ungenitakia kila la kheri, nionavyo kama nitasepa mazima
usikurupuke sijaomba nimesema labda, zingatia hilo
Kumtakia mtu heri hakuombwi arif
acha uongo umeniona wapi wewe? nakushauri achana na uongo
Huyu mgeni ndiyo namuona
duuuu hatareeeeeeeniliwahi sikia kuna msanii aliandika herufi (maneno) katika punje ya mchele