mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Ni muhimu sana mkuuJe ni mhimu kuweka picha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni muhimu sana mkuuJe ni mhimu kuweka picha?
Uko sahihi.
Sijawahi kuona mtoto amezaliwa halafu muda huo huo kaanza kutambaa
Ndugu mgeni kakufundisha nani kuanzisha uzi JF
Jitu likija na ID mpya utalikua tu
Karibu
Naomba uje PM
Karibu kwenye mtandao 'hatari' wa JF...
Mgeni jitambulishe jinsia kwanzaMsaada wa maelekezo namna ya kutumia huu mtandao vizuri,itanisadia kuupenda au kuuchukia mtandao huu.
Unataka kufundishwa nn wakat unaweza kufungua uzi na kujibu comment...sema umebadili ID
Ndio ni mhimu[emoji3] [emoji3]
chakukufahamisha mm nikwamba kuwa nampenzi humu nilazima maana upendo hum siyo ombi lazima unipede
Ni muhimu sana mkuu
Huku kuna wasiojulikana hivyo stay alert
Uwe na moyo wa uvumilivu. Humu bangi inaruhusiwa. Utaona majibu mengi ya bangi bangi!
Mgeni jitambulishe jinsia kwanza
Karibu.
Umejuaje kuitalize na kubold? ebu nioneshe jinsi kuitalize na kuboldPM ndio wapi huko
Tz visiwani.PM ndio wapi huko