Victor Bravo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 265
- 241
Karibu kijana, njoo moja kwa moja mpaka celebrities forumMimi ni mgeni humu ndani jamani, nilipata shida kidogo kujiunga na kutambulika kama member kamili lakini hatimaye nimejiunga. Nikaribisheni ndugu zangu[emoji120]
Pia usisahau mimi ndio wa kwanza kukupa like humu JFMimi ni mgeni humu ndani jamani, nilipata shida kidogo kujiunga na kutambulika kama member kamili lakini hatimaye nimejiunga. Nikaribisheni ndugu zangu[emoji120]
Asaante sana hance mtanashati[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Pia usisahau mimi ndio wa kwanza kukupa like humu JF
Mkuu unamaanishaa nini???[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ukae ukijua, KILICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA
Asee wacha tu nivuee nisiwape tabu ya kusafisha ndugu zangu![emoji4] [emoji4] [emoji4]Karibu pita na viatu kabisa
Hahha hapana mkuu mimi timu zangu mbili tu dunia hii Chelsea na YangaKaribu sana. Bila shaka wewe ni shabiki wa Barcelona ee? (Nauliza tu mkuu)
Sawa sawa mkuuHahha hapana mkuu mimi timu zangu mbili tu dunia hii Chelsea na Yanga
We bila shaka ni red devilKaribu sana. Bila shaka wewe ni shabiki wa Barcelona ee? (Nauliza tu mkuu)
inaonekana una ID mchepukoNishaweka mkuuuu
Haswaa, na kwa Tz mi ni mtani wako wa jadiWe bila shaka ni red devil
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]inaonekana una ID mchepuko