Mgeni jamani, nikaribisheni

Mgeni jamani, nikaribisheni

Victor Bravo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
265
Reaction score
241
Mimi ni mgeni humu ndani jamani, nilipata shida kidogo kujiunga na kutambulika kama member kamili lakini hatimaye nimejiunga. Nikaribisheni ndugu zangu[emoji120]
 
karibu mgeni..jisikie upo nyumbanii...
 
Mimi ni mgeni humu ndani jamani, nilipata shida kidogo kujiunga na kutambulika kama member kamili lakini hatimaye nimejiunga. Nikaribisheni ndugu zangu[emoji120]
Karibu kijana, njoo moja kwa moja mpaka celebrities forum
 
Ukae ukijua, KILICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA
 
Back
Top Bottom