Mgeni jamani nimekuja nipokeeni

Mgeni jamani nimekuja nipokeeni

Previous

Senior Member
Joined
Aug 18, 2017
Posts
117
Reaction score
132
Jamani kwema hapa jf
Nimekuja naomba mnipokee tu kama kuna maelekezo naomba mnipatie mapema nisije nikakurupukia vitu sivijui

Basi nipo mlangoni hapa nasubiri nipokelewe
 
Sawa karibu ila ukae ukijua akina bashite, n gambo na ndoto wako huku hata mkulu pia yypo manake kwenye utawala ule ulio pita kibonde ndio alikua anamsaidia njakaya kuingia huku sijajua kwa utawala huu nani anasaidia
 
Asante Sana'a kwa ukarimu wako na mwongozo wako
 
Ukiona mtu anatumia neno jf badala ya jamiiforums unagundua kabisa kuwa mtu huyo si mgeni.
Ila kama kweli umgeni,tuna utaratibu wa kuweka picha kama njia ya kujitambulisha,kwahyo tupia kapicha kako hapa kunogesha uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
hapana me mgeni hapa
Kuhusu kapicha usijali ntakatupia tu
 
Back
Top Bottom