Mgeni katk mtandao wa jamii forum

Mgeni katk mtandao wa jamii forum

Karibu sana mgeni
Ndugu Faraji hassan
Manake jukwaa/Forum hii
Ni mujarab kwa waitafutao elimu.
Iwapo utahitaji kupanua kitu kingine chochote tafadhali usisite kutufahamisha.
Pia unakaribishwa PM.
Karibu sana.

Hahaha a a a away a sijui umekula maharage ya wapi wewe
 
Shemeji Ulipotelea Wapi? Nimekumisi Mno! I Love You Shem...............Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah, Mtakaonuna Pasukeni.

Shemeji i love u tooo mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....nilipewa mapunzisho na mods ya siku tatu
 
Back
Top Bottom