Mgeni mimi

Mgeni mimi

binti wa kirombo

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2016
Posts
847
Reaction score
960
Habari zenu waungwa ...mim ni mgeni humu ndani ,,,sijui vizuri jinsi ya kucreate mada kwenye segment ya mahusiano na mapenzi nimeitafuta sana hapa sehem ya create thread siajiona wakongwe wa hii forum nisaidieni,,,,maaan nina mada nzito ya segment tajwa hapo juu..

Salaam..
 
Angalia vizuri.
 
mkuu karibu sana JF,
cha msingi fungua jukwaa la mahusiano na urafiki bonyeza sehemu iliyoandikwa 'Post new thread' ipo kwa kwa juu kulia na utaweza kuanzisha thread yako.
 
mmh...unapoingia hapo kwenye forum..hakuna hiyo segment ..zipo hizo nyingine nikitaka kupandisha au kushusha haiwezekan...
 
vip huko wanaume zenu bado wanasaidiwa na wakenya ?
 
Habari zenu waungwa ...mim ni mgeni humu ndani ,,,sijui vizuri jinsi ya kucreate mada kwenye segment ya mahusiano na mapenzi nimeitafuta sana hapa sehem ya create thread siajiona wakongwe wa hii forum nisaidieni,,,,maaan nina mada nzito ya segment tajwa hapo juu..

Salaam..
Ni pm nikupe maelekezo bint
 
ooh,,,tatizo nimekremisha..PM -NI PRIME MINISTER..looo as..nabonyeza wapi ndo nikute hiyo PM
 
Back
Top Bottom