Mgeni mimi

Mgeni mimi

bint yusuph

Member
Joined
Nov 15, 2017
Posts
29
Reaction score
16
Member mpya mie nahitaji ushirikiano wenu as well nataka kufahamu sheria na kanuniiii I mean vitu gani haswa havitakiwi humu
 
Kwanza tuambie umechukua uamuzi gani juu ya yule mpenzi wako aliekuwa anakudharau kisha baada ya wewe kupata shavu na jamaa mwingine anae care yeye anakutaka umrudie

Tuambie umeamuaje hilo swala ndio tuongee mengine
 
Karibu na mimi peke yangu tu humu ndani ndiyo sina wa kunipenda.
 
karibu mno mgeni wetu,kwenye ukurasa wa mbele wa JF kuna kilichoandikwa Terms and Rules,please pitia hapo
 
Back
Top Bottom